Wholesale & Delivery Mbeya Nzima
Fast Delivery Mbeya City & Maeneo ya Jirani
Sabuni | Pampers | Wipes | Food Items | School Supplies
Rungwe, Chunya, Mbarali, Songwe
24/7 Fast Delivery
Order kuanzia bidhaa 5+
Return ndani ya masaa 24 kama bidhaa imeharibika
Sikinde General Merchandise ni kampuni inayojihusisha na usambazaji wa bidhaa muhimu za nyumbani na matumizi ya kila siku. Tunatoa huduma kwa watu binafsi, maduka ya rejareja, wholesalers na taasisi mbalimbali.
Tunajivunia kuwa na bidhaa bora, huduma ya haraka na mahusiano mazuri na wateja wetu. Lengo letu ni kuhakikisha kila mteja anapata bidhaa sahihi kwa wakati na kwa bei rafiki.
Kusambaza bidhaa bora za matumizi ya nyumbani kwa wateja wetu kwa uaminifu, kwa wakati na kwa bei nafuu ili kuboresha maisha ya jamii.
Kuwa kampuni inayoongoza katika usambazaji wa bidhaa za nyumbani na usafi kwa Tanzania kwa kutoa huduma bora na bidhaa zenye ubora wa kimataifa.
Tunatoa delivery ya bidhaa kwa haraka kwa maeneo mbalimbali.
Usambazaji wa jumla kwa maduka, wholesalers na taasisi.
Bidhaa zinapatikana kwa rejareja kwa wateja binafsi.
Tunapatikana Mbeya na tunasambaza bidhaa muhimu za nyumbani, usafi, shule na vyakula kwa jumla na rejareja.
Sabuni za kufulia na kuogea
Pampers za watoto sizes zote
Baby wipes na bidhaa za usafi
Body oils & lotions
Cooking oils
Stationery & school supplies
Sukari, chumvi, biscuits n.k
Wasiliana nasi kwa order, usambazaji wa jumla au maswali yoyote.
Tanzania
+255 785 152 301
+255 734 220 581
sikindegeneral@gmail.com
WhatsApp Now